Matthew 21:32

32 aKwa maana Yahya alikuja kwenu kuwaonyesha njia ya haki, lakini hamkumsadiki, lakini watoza ushuru na makahaba wakamsadiki. Nanyi hata mlipoona hayo, baadaye hamkutubu na kumsadiki.”

Mfano Wa Wapangaji Waovu

(Marko 12:1-12; Luka 20:9-19)

Copyright information for SwhKC